Ibada Lyrics ibada_lyrics Ni wakati wa kuomba

Ni wakati wa kuomba

Lyrics Of The Song Ni wakati wa kuomba

Song ID 2284

ni wakati kanisa wa kuomba ni wakati kanisa wa kuomba dunia inapotikiswa ni wakati kanisa wa kuomba kanisa litasimama wakristo tukiomba ni wakati kanisa wa kuomba

Ni wakati wa kuomba.mp3

Ni wakati wa kuomba.video.mp4 YouTube

 

Hits: 22

Leave a Reply

Related Post