Lyrics Of The Song Ni wako Mungu!
Song ID 2584
ni wako Mungu ni furaha kwangu ni raha kumjua mwokozi wangu aleluya enzi ndako aleluya amin aleluya enzi ndako rejea Yesu mwana wa Mungu ndiye fungu langu na moyo hufurahi kwa Yesu wangu raha ya kweli ina jina hili na aliyeshika ana mbingu kweli nimeingia mapendano haya nimepata uzima na mbingu pia
Ni wako Mungu!.video.mp4 YouTube
Hits: 6