Ibada Lyrics ibada_lyrics Nijaposema Kwa Lugha

Nijaposema Kwa Lugha

Lyrics Of The Song Nijaposema Kwa Lugha

Song ID 2510

nijaposema kwa lugha kushinda malaika jamani kama mi sina upendo mimi ni kitu bure x2 upendo hauna wivu upendo hauoni mabaya upendo hauna chuki upendo haujivuni x2 nijapo hubiri sana mbele ya watu wengi jamani kama mi sina upendo mimi ni kitu bure x2 nijapo jitoa mwili niungue motoni jamani kama mi sina upendo mimi ni kitu bure x2

Nijaposema Kwa Lugha.mp3

Nijaposema Kwa Lugha.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post