Ibada Lyrics ibada_lyrics Nimevipiga Vita Vizuri

Nimevipiga Vita Vizuri

Lyrics Of The Song Nimevipiga Vita Vizuri

Song ID 2132

nimevipiga vita vizuri mwendo wangu nimeumaliza nayo imani nimeilinda natarajia kupewa taji na Bwana nikitazama nyuma sijuti hata nimejifunza kusahau yaliyopita sasa najisukuma kwa yaliyo mbele nikimfuata Yesu mwokozi wangu japo imani yangu imetikiswa mimi nimeshikiliwa na Yesu wangu hata wakiniacha rafiki zangu siri mimi niko na imanueli nifuateni nifuatatavyo Yesu yeye ni mwanzo na mwisho wa imani yetu msishawishike na ulimwengu upitao tuvipige vita vizuri

Nimevipiga Vita Vizuri.mp3

Nimevipiga Vita Vizuri.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post