Ibada Lyrics ibada_lyrics Nina Haja nawe

Nina Haja nawe

Lyrics Of The Song Nina Haja nawe

Song ID 207

nina haja nawe kila saa hawezi mwingine kunifaa Yesu nakuhitaji vivyo kila saa niwezeshe mwokozi nakujia nina haja nawe kaa nami na maonjo haya hayaumi nina haja nawe kila hali maisha ni bure uli mbali nina haja nawe nifundishe na ahadi zako zifikishe nina haja nawe mweza yote ni wako kabisa siku zote

Nina Haja nawe.mp3

Nina Haja nawe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post