Ibada Lyrics ibada_lyrics Nipishe Njia

Nipishe Njia

Lyrics Of The Song Nipishe Njia

Song ID 3410

nipishe njia nipeni nafasi nimuonyeshe Mungu nilivyo furahi nitamwimbia ngoma nitacheza nimuonyeshe Mungu nilivyo furahi natamani kuruka nifike kule nimuinue Mungu kwa mikono yangu nimuonyeshe kwa kinywa changu mwenyewe kwamba nimefurahi kwaupendo wake Bwana nashukuru x3 tu ninashukuru kwa kunipenda bila mwisho sina chakusema x3 tu ninashukuru kwa kunipenda bila mwisho kaniinua kutoka shimoni akaniweka juu ya kinara nitazunguka kwa maringo tele natabasamu lisilokauka nitawashika wenzangu mikono tuliinue wote kwa pamoja wenzangu si mjionee wenyewe Mungu alivyo mwema wa ajabu nitaandika utukufu wake na wajukuu wangu wausome

Nipishe Njia.mp3

Nipishe Njia.video.mp4 YouTube

 

Hits: 55

Leave a Reply

Related Post