Salama

Lyrics Of The Song Salama

Song ID 3666

salama salama oh ni salama it is well oh it is well kwake Yesu ni salama in Jesus all is well repeat napiga magoti leo i am on my knees today nikileta mahitaji yangu kwako bringing my needs before you baba nisikie na unijibu father listen and answer me maana sina mwingine wa kwenda for i have none other to go before nimuombee anibariki ila ni wewe to pray that i may be blessed but you nakuomba baba jibu maombi yangu father i pray answer my prayers wewe ni jehova shammah you are the Lord who is there unaelewa mapito yetu you understand our steps na uzima wetu kila siku and our daily lives tumekuja baba kusema father we have come to say usichukuwe muda mrefu kutubariki do not take long to bless us na baraka zako ndio maana tunasema with your blessings that is why we say response the refrain biashara yako your blessings na jamii yako your family hata ndoa yako even your marriage masomo yako pia your studies huduma yako pia your ministry mipango yote pia ni all your plans ukikosa kazi ni salama if you lack a job it is well ukivunjika moyoni if you are broken hearted mienendo yangu my steps maisha yangu my life ni salama kwake Yesu is well in Jesus

Salama.mp3

Salama.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post