Ibada Lyrics ibada_lyrics SHANGWE KWA Bwana

SHANGWE KWA Bwana

Lyrics Of The Song SHANGWE KWA Bwana

Song ID 2548

e Yesu mwokozi u Bwana wewe pekee siku zote nitasifu ajabu ya mapenzi yako hema langu na faraja kimbilio la nguvu pumzi yangu na vyote vyangu vikuabudu milele shangwe kwa Bwana dunia yote enzi na sifa kwake mfalme nchi bahari viinamie sauti yako kuu sifa kwa kazi ya mkono wako nitakupenda milele Bwana ahadi zako hazilinganishwi kamwe

SHANGWE KWA Bwana.mp3

SHANGWE KWA Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post