Ibada Lyrics ibada_lyrics Tuimbe Kwa Shangwe Na Furaha

Tuimbe Kwa Shangwe Na Furaha

Lyrics Of The Song Tuimbe Kwa Shangwe Na Furaha

Song ID 3615

tuimbe kwa shangwe na furaha x2 Bwana ametufanyia makuu Mungu wa amani na mapendo mwenye utukufu wa ajabu Mungu wetu Mungu milele Mungu mwenye haki na ukweli mwenye radhi nyingi na rehema Mungu mwema mwema ajabu Mungu wetu chanzo cha hekima mwenye nguvu zote na heshima Mungu wetu baba milele Mungu wa ujuzi na fahamu mwenye kuchunguza kila kitu Mungu kweli kweli daima Mungu mwenye kuumba ulimwengu mwenye kuzishika mbingu zote Mungu mwumba mwenye uwezo Mungu mhifadhi wa maisha mwenye kututunza kila saa Mungu mwema mwema daima Mungu mwenye enzi wa milele mwenye utawala wa kudumu Mungu wetu Mungu mtukufu

Tuimbe Kwa Shangwe Na Furaha.mp3

Tuimbe Kwa Shangwe Na Furaha.video.mp4 YouTube

 

Hits: 9

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post