Ibada Lyrics ibada_lyrics Si ya Kawaida

Si ya Kawaida

Lyrics Of The Song Si ya Kawaida

Song ID 2655

nilikuwa wa kudharauliwa ukanipa heshima Bwana sijui niseme nini hakuna chochote kile ninaweza jivunia isipokuwa neema yako usingelikuwepo nisingelikuwepo nisingelipata mimi upendo kama wako kwamba neema si ya kawaida imenitoa kwa laana hakuna chochote ningefanya mimi ili nikubaliwe na Mungu damu yako ya dhamana imeniepusha na hukumu rehema upendo zimeniwezesha kuingia kwa baba usingelijitoa ningekuwa wapi kwa kupigwa kwako tumepona aa ulibeba mateso shida zote msalabani ukasema kuwa yote yamekwisha aa aah usingelikuwepo nisingelikuwepo nisingelipata upendo kama wako

Si ya Kawaida.mp3

Si ya Kawaida.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post