Ibada Lyrics ibada_lyrics Sioni haya kwa Bwana

Sioni haya kwa Bwana

Lyrics Of The Song Sioni haya kwa Bwana

Song ID 3842

sioni haya kwa Bwana kwake nitangara mti wake sitakana ni neno imara msalaba ndio asili ya mema nikatua mzigo hapo nina uzima furaha daima njoni kafurahini papo kama kiti chake vivyo ni yake ahadi alivyowekewa navyo kamwe havirudi Bwana wangu tena Mungu ndilo lake jina hataacha roho yangu wala kunikana atakiri langu jina mbele za babaye anipe pahali tena mbinguni nikae

Sioni haya kwa Bwana.mp3

Sioni haya kwa Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post