Lyrics Of The Song siteketei
Song ID 390
mi siteketei siangamii i do not burn i do not fall sigharikishwi upo nami i am not swept away for you are with me repeat hupimwi kwa siku hupimwi kwa miaka you are not measured by days or years unatafsiri majira huzuiwi na muda you define seasons you are not bound by time umejawa na nguvu ndio maana nakuita baba you are filled with power i call you father moyoni mwangu najawa sifa my heart is filled with praise na ujasiri katika wewe for my courage is in you hakuna mlima wa kuniangusha no mountain can cause me to fail ndani yako ninasimama for i stand in you nimezungukwa na we kila pande i have been surrounded on all sides hakuna jambo la kuniangamiza there is nothing that will cause me to fail majeshi yalo upande wangu your armies that are on my side ni mengi sana kulika hawa wa dunia are more than those in the world hatua zangu zaongozwa nawe my steps are ordered by you siangamii siteketei i do not fall i do not burn katika wewe ninasimama for i stand in you siteketei na ninadumu i do not burn i stand firm kwako Bwana nasimama i stand in you Lord ndiwe mwamba ni salama you are the solid rock kwako Bwana nasimama i stand in you Lord for they that believe in you we shall stand firm forever forever
Hits: 9