Ibada Lyrics ibada_lyrics Siteketei, Siangamii

Siteketei, Siangamii

Lyrics Of The Song Siteketei, Siangamii

Song ID 2822

mi siteketeii siangamii sigarikishwi upo nami mi siteketei siangamii sigarikishwi upo nami hupimwi kwa siku hupimwi kwa miaka unatafsiri majira huzuiwii na muda umejawa na nguvu ndio maana nakuita baba moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri katika wewe hakuna mlima wa kuniangusha ndani yako mi nasimama nimezungukwa nawe kila pande hakuna jambo la kuniangamiza majeshi yalo upande wangu ni mengi sana kuliko hao wa dunia hatua zangu zaongozwa nawe siangamii siteketei katika wewe ninasimama siteketei na ninajua ee ee kwako Bwana nasimama ndiwe mwamba ni salama kwako Bwana nasimama eh eh for they that believe in you we shall stand firm forever forever

Siteketei, Siangamii.mp3

Siteketei, Siangamii.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post