Lyrics Of The Song Twonane Milele – Nyimbo Na Tuziimbe Tena
Song ID 3340
nyimbo na tuziimbe tena za alivyotupenda mbele kwa damu ya thamani sana mbinguni twonane milele twonane milele twonane bandarini kule twonane milele twonane bandarini kule hupozwa kila aoshwaye kwa damu ya kondoo yule ataishi afurahiye vya Yesu mbinguni milele twonane milele twonane bandarini kule twonane milele twonane bandarini kule hata sasa hufurahia tamu yake mapenzi yale je kwake tukifikilia kutofarakana milele twende mbele kwa jina lake hata aje mwokozi yule atatukaribisha kwake tutawale naye milele sauti zetu tuinue kumsifu mwokozi yule ili watu wote wajue wokovu u kwake milele
Twonane Milele – Nyimbo Na Tuziimbe Tena.mp3
Twonane Milele – Nyimbo Na Tuziimbe Tena.video.mp4 YouTube
Hits: 5