Ujulikane

Lyrics Of The Song Ujulikane

Song ID 2695

nisijione mkamilifu kwa nguvu yangu nitaweza pekee yangu nisiamini hekima yangu juhudi zangu nikutazamie Mungu watakao nisikia wakinishangilia niwaelekeze kwako ooh watakaonifuata nikikufuata tuje kwako na chochote kile itaenda sawa sio mimi ni wewe ujulikane na popote pale nitaenda baba sio mimi ni wewe ujulikane

Ujulikane.mp3

Ujulikane.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post