Lyrics Of The Song Umenifanya Ibada
Song ID 1387
umenifanya ibada nikuabudu umenipa kutumika chini ya pendo lako mamlaka na nguvu ninazo kufanya lolote utakalo mamalaka na nguvu ninazo maana we upo ndani yangu umenifanya ibada nikuabudu umenipa kutumika chini ya pendo lako mamlaka na nguvu ninazo kufanya lolote utakalo mamalaka na nguvu ninazo maana we upo ndani yangu umenificha sirini mwako Bwana nikujue zaidi ya fahamu zangu mamlaka na nguvu ninazo kufanya lolote utakalo mamlaka na nguvu ninazo maana we upo ndani yangu 2 umenifanya ibada nikwabudu umenipa kutumika chini ya pendo lako mamlaka na nguvu ninazo kufanya lolote utakalo mamalaka na nguvu ninazo maana we upo ndani yako 2 nasema ndio ndio 4 ndio Bwana Bwana ndio Bwana Bwana 4
Umenifanya Ibada.video.mp4 YouTube
Hits: 35