Ibada Lyrics ibada_lyrics umeshinda kifo na mauti, unaketi kuume kwa Baba

umeshinda kifo na mauti, unaketi kuume kwa Baba

Lyrics Of The Song umeshinda kifo na mauti, unaketi kuume kwa Baba

Song ID 780

ukapewa jina bora lipitalo majina yote kwa jina lako litakiri wewe ni Bwana umeenzika sana wastahili wastahili wastahili mwana kondoo wa Mungu uliyechinjwa tunakuinua wastahili wastahili wastahili mwana kondoo wa Mungu uliyechinjwa

umeshinda kifo na mauti, unaketi kuume kwa Baba.mp3

umeshinda kifo na mauti, unaketi kuume kwa Baba.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post