Ibada Lyrics ibada_lyrics USIFURAHI JUU YANGU Lyrics by Upendo Nkone

USIFURAHI JUU YANGU Lyrics by Upendo Nkone

Lyrics Of The Song USIFURAHI JUU YANGU Lyrics by Upendo Nkone

Song ID 3199

usifurahi juu yangu eeeh adui yangu niangukapo mimi nitasimama tena kumbuka niwapo gizani Bwana ni nuru yangu hawezi kuniacha Bwana mimi niangamie 2 si vyema kunisema vibaya nipatapo tatizo shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako kumbuka kwa maobi yako nitasimama tena na utapata baraka kutoka kwake Mungu 2 maana heri mtu yule ambaye kinywa chake ni kuwabariki wenzake na kiwaombea maana maneno mabaya huchafua moyo ukiwekwa mbali na Mungu ni vyema uwe safi ukiona niko kwenye shida niombee ndoa yangu imevunjika wewe niombee nikifukuzwa kazini ndugu niombee magonjwa yananiandamaa niombee biashara haina faida niombee nikikawia kupata mtoto niombee nimekuwa mtoto yatima niombee ata nijapo kuwa mjane niombee ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena ujue kwa maobi yako nitabarikiwa 4

USIFURAHI JUU YANGU Lyrics by Upendo Nkone.mp3

USIFURAHI JUU YANGU Lyrics by Upendo Nkone.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post