Ibada Lyrics ibada_lyrics Usifurahi Juu Yangu eeh Adui

Usifurahi Juu Yangu eeh Adui

Lyrics Of The Song Usifurahi Juu Yangu eeh Adui

Song ID 2602

usifurahi juu yangu eeeh adui yangu niangukapo mimi nitasimama tena kumbuka niwapo gizani Bwana nuru yangu hawezi kuniacha Bwana mimi niangamie si vyema kunisema vibaya nipatapo tatizo shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako kumbuka kwa maombi yako nitasimama tena na utapata baraka kutoka kwake Mungu maana heri mtu yule ambaye kinywa chake huwabariki wenzake na kuwaombea maana maneno mabaya huuchafua moyo kukuweka mbali na Mungu ni vema uwe safi ukiona nipo kwenye shida niombee ndoa yangu imevunjika wewe niombee nikifukuzwa kazini ndugu niombee magonjwa yananiandama niombee biashara haina faida niombee nikikawia kupata mtoto nimbee nimekuwa mtoto yatima niombee hata nijapokuwa mjane niombee ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena ujue kwa maombi yako nitabarikiwa ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena ujue kwa maombi yako nitabarikiwa

Usifurahi Juu Yangu eeh Adui.mp3

Usifurahi Juu Yangu eeh Adui.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post