Ibada Lyrics ibada_lyrics Utukumbuke – Uwakumbuke

Utukumbuke – Uwakumbuke

Lyrics Of The Song Utukumbuke – Uwakumbuke

Song ID 1430

Bwana Yesu nataka niseme na wewe usifiwe moyo baba usife moyo mama nakuona mama unatazama watoto waumia moyoni nakuona baba unashinda umelewa uheshimiwi nyumbani nakuona kijana umetafuta umechoka pia tena na leo mwokozi yuona yale wanapitia baba ona uwakumbuke uwakumbuke wagonjwa hao uwakumbuke yatima baba uwakumbuke baba aah wandandoa wale utukumbuke kina mama wale utukumbuke ona baba wale utukumbuke baba aah ooh wakumbuke eeh mkono wako si mfupi usiokoe na sikio lako si fupi lisisikie mkono wako si mfupi usiokoe na sikio lako si fupi lisisikie wewe mwanzo tena mwisho eeh kwako hakunalo gumu tujapokua dhaifu Bwana aah wewe ndiwe nguvu zetu uwakumbukee eeh kanisa lako uwakumbuke taifa letu uwakumbuke baba baba tunakutazame utukumbuke ona watoto wale utukumbuke barabarani utukumbuke baba aah Bwana Yesu wewe ndiwe majibu ya kila mwenye maswali moyoni unaweza Yesu eeh uuuuh uwakumbuke uwakukumbuke watoto wale ona baba wajane wale uwakumbuke wawe ndiwe mume wao utukumbuke utukumbuke baba utukumbuke taifa letu na nchi yetu utukumbuke baba aah serekali na viongozi utukumbuke baba aah

Utukumbuke – Uwakumbuke.mp3

Utukumbuke – Uwakumbuke.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post