Ibada Lyrics ibada_lyrics WEWE PEKEE Lyrics by Alice Kamande

WEWE PEKEE Lyrics by Alice Kamande

Lyrics Of The Song WEWE PEKEE Lyrics by Alice Kamande

Song ID 2198

kufungua kinywa changu nikusifu baba makuu umenitendea nimefika sasa apa wewe kweli ni rafiki unaniongoza ninapopotea upendo wako ni ufananishe na nani babaa tabu nyingi kweli nlipitia hadi nikajipata nikikushukuru sikujua mpango wako kwangu babaa ulijua yote nikiyapitia mkono wako ulikuwa umenishikilia nisianguke ewee wewee kimbilio langu hakuna mwingine ni wewe pekee yako mbele ata nyuma ni wewe pekee 2 tafuta tafuta utampata kama yeye alinitoa toka tope la dhambi kamwe sitaona aya ya kumsifu Mungu wangu

WEWE PEKEE Lyrics by Alice Kamande.mp3

WEWE PEKEE Lyrics by Alice Kamande.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post