Lyrics Of The Song Yale umetenda Baba
Song ID 1751
ninashangaa nikielewa wewe ni zaidi ya vile nilivyoambiwa juu yako tena sauti yako yanizidia sauti zote ninazosikia yale umetenda baba yote ni makuu maana wayatenda kwa upendo yale unasema baba yote ni kweli maana pia wayasema kwa upendo nimejipata ndani ya upendo wako umekua kwangu mapumziko neema yako yanitosha nikiwa nawe mimi niko huru bridge wewe ni Mungu mkuu mfalme wa wafalme muumba wa mbingu na nchi heshima zote ni zako Bwana hakuna kama wewe
Yale umetenda Baba.video.mp4 YouTube
Hits: 17