Ibada Lyrics ibada_lyrics Wewe ni zaidi – Yale umetenda Baba

Wewe ni zaidi – Yale umetenda Baba

Lyrics Of The Song Wewe ni zaidi – Yale umetenda Baba

Song ID 152

mi nashangaa nikielewa wewe ni zaidi ya vile nilivyoambiwa juu yako tena sauti yako baba yanizidia sauti zote ninazosikia yale umetenda baba yote ni makuu maana wayatenda kwa upendo yale unasema baba yote ni kweli maana pia wayasema kwa upendo nimejipata ndani ya upendo wako umekua kwangu mapumziko neema yako yanitosha nikiwa nawe mimi niko huru wewe ni Mungu mkuu mfalme wa wafalme muumba wa mbingu na nchi heshima zote ni zako Bwana hakuna kama wewe

Wewe ni zaidi – Yale umetenda Baba.mp3

Wewe ni zaidi – Yale umetenda Baba.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Related Post