Lyrics Of The Song Anza Vyote na Yesu
Song ID 1317
anza vyote na Yesu kila kunapokucha umweleze yeye shida zako anza vyote na Yesu kila siku anza na Yesu asubuhi ata na jioni mwambie shida zako anza vyote na Yesu manabii na mitume walianza na Yesu wakapata mema kwake Yesu anza vyote na Yesu piga makoti omba zungumuza na Yesu atakujibu mambo yako anza vyote na Yesu kila siku anza na Yesu asubuhi ata na jioni mwambie shida zako anza vyote na Yesu x2
Anza Vyote na Yesu.video.mp4 YouTube
Hits: 5