Ibada Lyrics ibada_lyrics Ni mji Mzuri

Ni mji Mzuri

Lyrics Of The Song Ni mji Mzuri

Song ID 368

ni mji mzuri mbali sana kama jua waimba kwa tamu tuna wema hakimu sifa na idumu kwake Bwana ni mji mzuri twende sote msikawe raha tutaona dhambi hapana tena hatutaachana siku zote ni mji mzuri macho yote huko wanawiri kama pete baba tutamwona tukifanywa tu wana tumo kupendana naye sote ni mji mzuri tusipotee na tuwe hodari tuupate tufunze tutume kwa taji na ufalme sifa na zivume siku zote

Ni mji Mzuri.mp3

Ni mji Mzuri.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post