Ibada Lyrics ibada_lyrics Baba naomba kubarikiwa nawe

Baba naomba kubarikiwa nawe

Lyrics Of The Song Baba naomba kubarikiwa nawe

Song ID 2065

macho yangu nayainua nibadilishe unibariki baraka zako haina huzuni nizakudumu milele amina baba naomba kubarikiwa nawe sitoki hapa usiponibariki baba naomba kubarikiwa nawe sitoki hapa usiponibariki ukabadilisha yakobo jina ukamwita isreael maana yake kubarikiwa nami naomba kubarikiwa nawe ninapokutazama utanininua ninapokutazama utanibariki ninapokutazama sitaogopa kamwe sitoki hapa bila uguso wako ukinigusa nimebarikiwa uguso wako ni baraka kwangu ulimgusa batholomayo akaona ndipo nasema nataka uguso wako sitoki hapa usinibariki

Baba naomba kubarikiwa nawe.mp3

Baba naomba kubarikiwa nawe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post