Ibada Lyrics ibada_lyrics Bwana Awabariki

Bwana Awabariki

Lyrics Of The Song Bwana Awabariki

Song ID 99

Bwana awabariki x3 milele ukimcha Bwana Bwana awabariki na kutembea Bwana awabariki pamoja naye Bwana awabariki heri ni yako Bwana awabariki na mke wako atasitawi kama mzabibu wenye matunda watoto wako watafanana na machipuko ya mzeituni ubarikiwe kutoka zion maishani mwote amani kwako

Bwana Awabariki.mp3

Bwana Awabariki.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post