Ibada Lyrics ibada songs Kwako unipaye uzima

Kwako unipaye uzima

Guardian Angel – MOYO WANGU .X. Dj Kezz Full Song Lyrics

Kwako unipaye uzima
Nakupa moyo wangu mzima
Umeniwezesha kushinda
Niliyo ogopa yangenishinda

Manjanga tumeshinda, magojwa tumeshinda
Mitego ya maadui, yote tumeshinda
Mawimbi na dhoruba, eh bwana tumeshinda
Natuliogopa yangetushinda.

Milima na mabonde, eh bwana tumepita
Yalo tutetemesha, bwana umetuliza
Yalo tuogopesha, umeondoa mashaka
Natuliogopa yangetushinda

Sasa nakupa shukrani zangu nakupa
Baba pokea sadaka yangu ya sifa
Bwana nakupa moyo wangu nakupa
Nakupa moyo wangu mzima

Hits: 133

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post