Ibada Lyrics ibada_lyrics Mbele ninaendelea – Ee Bwana Uniunue

Mbele ninaendelea – Ee Bwana Uniunue

Lyrics Of The Song Mbele ninaendelea – Ee Bwana Uniunue

Song ID 1733

mbele ninaendelea ninazidi kutembea maombi uyasikie eeh Bwana unipandishe ee Bwana uniinue kwa imani nisimame nipande milima yote ee Bwana unipandshe si natamani nikae mahali pa shaka kamwe hapo wengi wanakaa kuendelea naomba nisikae duniani ni mahali pa shetani natazamia mbinguni nitafika kwa imani nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu nitaomba nifikishwe ee Bwana unipandishe nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu nitaomba nifikishwe ee Bwana unipandishe also sung by joel lwaga equivalence Lord lift me up Lord lift me up and let me stand

Mbele ninaendelea – Ee Bwana Uniunue.mp3

Mbele ninaendelea – Ee Bwana Uniunue.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post