Ibada Lyrics ibada_lyrics Mpango wa Kando

Mpango wa Kando

Lyrics Of The Song Mpango wa Kando

Song ID 2147

kando ooh kando ooh wacha tulipojuana mi nawe ulinipenda sana uliniamini sana ukanitafuta sana nikashakuomba ukaniitisha ulichotaka wewe ieh wewe eeh mpango wa kandoo ooh mpango wa kandoo ooh wacha mpango wa kandoo ooh mpango wa kandoo ooh wacha taka jalani ulinimiminia eti mbona ukitimize nitakumikia zaidi eeh nikakupa kazi ukaniomba mtoto nikakupa watoto mimi Mungu wako nikakuponya magonjwa yote mimi eeh mwaminifu sana mbona hukeshi tena sababu ya mume mbona hufungi tena njaa yanilemea ibada yangu wachelewa baba niko busy nakuona kwa waganga niliona umechelewa mbona hukeshi tena sababu ya mke mbona hufungi tena shida zimekwisha ibada wachelewa baba ni watoto nakuona kwa waganga niliona umenyamaza ulianza vitina ukaanza chonganisha ukaingiza na chuki ukaanza ulevi mama pima ukasahau jamii nisamehe nisamehe baba nisamehe nisamehe nisamehe baba nisamehe ulikosa mwelekeo lakini umetubu leo nimekusamehe mwanangu

Mpango wa Kando.mp3

Mpango wa Kando.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post