Ibada Lyrics ibada_lyrics Mbele ninaendelea

Mbele ninaendelea

Lyrics Of The Song Mbele ninaendelea

Song ID 913

mbele ninaendelea ninazidi kutembea maombi uyasikie eeh Bwana unipandishe ee Bwana uniinue kwa imani nisimame nipande milima yote ee Bwana unipandshe si natamani nikae mahali pa shaka kamwe hapo wengi wanakaa kuendelea naomba nisikae duniani ni mahali pa shetani natazamia mbinguni nitafika kwa imani nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu nitaomba nifikishwe ee Bwana unipandishe nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu nitaomba nifikishwe ee Bwana unipandishe

Mbele ninaendelea.mp3

Mbele ninaendelea.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post