Ibada Lyrics ibada_lyrics Milango Zetu

Milango Zetu

Lyrics Of The Song Milango Zetu

Song ID 3604

milango zetu zimefunguliwa tuingie sasa nyumbani mwa baba maongezi yote acheni nje ni wakati sasa wa kusali wababa na wamama na wazee na watoto ingieni wote nyumbani mwake baba Mungu imbeni furaha furaha furaha si lazima tukasikia wimbo lakini tuyafuate na tuyatimize maneno yake tuchunge moyoni ni wakati sasa wa kusali

Milango Zetu.mp3

Milango Zetu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post