Lyrics Of The Song Moyo
Song ID 233
moyo moyo wangu wamtukuza Bwana roho roho yangu inafurahi x2 kwa kuwa amemwangalia kwa huruma mtumishi wake hivyo tangu leo watu wote wataniita mwenye heri kwa sababu mwenyezi Mungu amenifanyia makuu jina lake ni takatifu x2 huruma yake ni kwa wote wote wale wanaomcha kizazi hata na kizazi x2 huyatenda mambo makuu kwa nguvu za mkono wake wenye kiburi hutawanya x2 hushusha wote wenye vyeo kutoka vitini vya enzi hao wote wanyenyekevu wote hao huwainua huwashibisha wenye njaa na matajiri huwaacha waende mikono mitupu x2 hulilind taifa lake teule na mtumishi wake kikumbuka huruma yake x2 kama alivyo waahidia baba zetu kuwaahidia ibrahimu na uzao wake x2 atukuzwe baba na mwana naye roho mtakatifu leo kesho hata milele kwa shangwe milele amina
Hits: 2