Ibada Lyrics ibada_lyrics MITEGO lyrics by Kaberere

MITEGO lyrics by Kaberere

Lyrics Of The Song MITEGO lyrics by Kaberere

Song ID 1590

alijipata amevaa suti na tai kali ameamka anaenda kutafuta mashilingi na kumbe mbele majaribu na mipango mikali mikali alirejea kama hana kitu mfukoni akaangaliwa na uzuni na watoto waake akawaimbia oringo ooh ooh na kuwaimiza Mungu yupo chorus wamechimba shimo niingie wataingia wenyewe wameweka mitego nipitie watapitia wenyewe tegua tegua mitengo walioniwekea pangua pangua mipango walionipangia baba najua una nguvu ya kupangua mitego ile imewekwa ili niabike baba najua una nguvu mingi anaweka imani kwako natazama mbigu nakuona paulo na sila natazama mbigu nakuona utumishi sitakando natazama mbigu nakuona baba yusufu natazama mbigu naoona

MITEGO lyrics by Kaberere.mp3

MITEGO lyrics by Kaberere.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post