Ibada Lyrics ibada_lyrics Nakushuru Ee Bwana

Nakushuru Ee Bwana

Lyrics Of The Song Nakushuru Ee Bwana

Song ID 3137

nakushukuru ee Bwana muumba wa vyote asante kwa mema yote uliyo nijalia x2 ukanilinda vyema katika safari ukaniepusha na hatari za njiani hakika wanipenda na unanijali tangu utoto wangu wala hukuniacha ukanipa chakula cha uzima wangu chakula bora kiticho nguvu mwilini ukanipa kinywaji cha uzima wangu kinywaji bora kiticho nguvu mwilini ukanilinda Bwana na maovu mengi ukanipa ukamilivu nikukumbuke ukanikinga Bwana na pepo wachafu ukanitaka nitangaze ukweli wako hakika wanipenda na unanijali tangu utoto wangu wala hukuniacha mimi ni kitu gani hata unijali ndani yangu kweli si kitu mbele yako ee Mungu wangu mimi nakupenda sana fadhili zako kwangu Bwana nimeziona maisha yangu yote ninakuachia ili moyo wangu ushibe upendo wako

Nakushuru Ee Bwana.mp3

Nakushuru Ee Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post