Lyrics Of The Song Nasadiki
Song ID 1138
nasadiki kweli x3 nina sadiki nasadiki Mungu muumba wa vyote nasadiki mwana wa pekee bikira maria akawa na mamaye kwa uwezo wa roho mtakatifu akasulubiwa kwa ajili yetu na kwa amri ya ponsio pilato akafufuka na akapaa mbinguni kaketi kuume kwa Mungu baba atarudi tena na kutuhukumu nasadiki kwa roho mtakatifu maondoleo ya dhambi kwa ubatizo ufuko wa miili uzima wa milele
Hits: 9