Nashukuru

Lyrics Of The Song Nashukuru

Song ID 2429

umenipa uhai baba nafasi nyingine ya siku mpya baaaabaaaa nashukuruuu umeniponya roho na mwili tabibu wa ajabu wewe Yesu babaaaaa nashukuruu umeondoa laana kabadilisha kuwa baraka baba nashukuru kilio changu ewe Yesu kabadilisha kuwa furaha baba nashukuru kwa moyo wangu wote nasema asante kwako messiah nashukuru nilipokuwa mnyonge baba umekua nguvu yangu babaa nashukuru nayo mishale ya yule mwovu hayajanipata umenilinda babaaa nashukuru umeniongoza mwokozi wangu kanisimamisha imara babaaaa nashukuru umenitoa kwenye shimo la giza kaniweka kwenye mwanga babaaa nashukuru yale yote umetenda ni mingi mno na ya ajabu sijuie nisemeje messiah nashukuruuu

Nashukuru.mp3

Nashukuru.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post