Ibada Lyrics ibada_lyrics Umenipa Uhai Baba

Umenipa Uhai Baba

Lyrics Of The Song Umenipa Uhai Baba

Song ID 68

umenipa uhai baba nafasi nyingine ya siku mpya baba nashukuru umeniponya roho na mwili tabibu wa ajabu ewe Yesu baba nashukuru umeondoa laana baba kabadilisha kuwa baraka baba nashukuru kilio changu ewe Yesu kabadilisha kuwa furaha baba nashukuru kwa moyo wangu wote nasema ahsante kwako messiah nashukuru nilipokuwa mnyonge baba umekuwa nguvu yangu baba nashukuru nayo mishale ya yule mwovu haijanipata umenilinda baba nashukuru umeniongoza mwokozi wangu kanisimamisha imara baba nashukuru umenitoa kwenye shimo la giza kanileta kwenye mwanga baba nashukuru yale yote umetenda ni mengi mno na ya ajabu sijui mimi nisemeje yale yahweh umenitendea ni mengi mno na ya ajabu sijui mimi nisemeje sijui mimi nisemeje eeh

Umenipa Uhai Baba.mp3

Umenipa Uhai Baba.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post