Lyrics Of The Song Ni Chakula Cha Roho
Song ID 508
mwili wa Bwana Yesu chakula cha mbingu ni chakula cha roho chenye uzima x2 hima uwe nasi ee Bwana Yesu ukatushibishe chakula bora ni chakula cha roho chenye uzima x2 Yesu alitwambia yeye ni chakula ni chakula cha roho chenye uzima x2 anilaye mimi na kunywa damu anao uzima wa siku zote ni chakula cha roho chenye uzima x2 Yesu alitwambia yeye ni chakula ni chakula cha roho chenye uzima x2 sote twa amini ni mwili wake pia twa amini ni damu yake ni chakula cha roho chenye uzima x2 hii ndiyo karamu aliyotwachia ni chakula cha roho chenye uzima x2 ee Bwana mwokozi tuna kuomba kwa chakula hiki tuimarike ni chakula cha roho chenye uzima x2
Ni Chakula Cha Roho.video.mp4 YouTube
Hits: 31