Ibada Lyrics ibada_lyrics Ni KWA NEEMA NA REHEMA

Ni KWA NEEMA NA REHEMA

Lyrics Of The Song Ni KWA NEEMA NA REHEMA

Song ID 91

hapa nilipo mimi ni kwa neema ya Mungu vile nilivo mimi ni kwa neema ya Mungu nimetoka mbili toka mbali toka mbali nimetoka mbali ainuliwe Mungu wanguu juu atukuzwe Mungu wangu juu ni kwa neema tu neema na rehema ni kwa neema tu neema na rehema sio kitu rahisi mtu anasaidia sikutegemea tegemea tegemea sikutegemea aah sikutegemea tegemea tegemea sikutegemea aah ainuliwe Mungu wanguu juu asifiwe Mungu wangu juu uzima ulio nao umepewa na Mungu uhai ulio nao umepewa na Mungu uwezo ulio nao umepewa na Mungu mali ulizo nazo umepewa na Mungu hebu jiulize jiuli jiulize umetenda tendo gani njema hebu jiulize jiuli jiulize umefanya jambo gani njema asifiwe Mungu wangu ju atupaye hivi vyote ni kwa neema tu neema na rehema ni kwa neema tu neema na rehema tunaishi tunakula ni kwa neema tu neema na rehema Mungu wetu anatujali ni kwa neema tu neema na rehema

Ni KWA NEEMA NA REHEMA.mp3

Ni KWA NEEMA NA REHEMA.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post