Lyrics Of The Song Nikikumbuka vile wewe Mungu
Song ID 2042
kuyatambua ni vigumu mno roho yangu na ikuimbie jinsi wewe ulivyo mkuu roho yangu na ikuimbie jinsi wewe ulivyo mkuu Yesu mwokozi atakaporudi kunichukua kwenda mbinguni nitaimba sifa zako milele wote wajue jinsi ulivyo
Nikikumbuka vile wewe Mungu.mp3
Nikikumbuka vile wewe Mungu.video.mp4 YouTube
Hits: 4