Lyrics Of The Song Nimfahamu Yesu – Nataka nimjue Yesu zaidi
Song ID 374
nataka nimjue Yesu na nizidi kumfahamu nijue pendo lake na wokovu wake kamili zaidi zaidi nimfahamu Yesu nijue pendo lake na wokovu wake kamili nataka nimwone Yesu na nizidi kusikia anenapo kitabuni kujidhihirisha kwangu nataka nimfahamu na nizidi kupambanua mapenzi yake nione yale yanayo pendeza nataka nikae nawe kwa mazungumzo zaidi nizidi kuwaonesha wengine wokovu wake
Nimfahamu Yesu – Nataka nimjue Yesu zaidi.mp3
Nimfahamu Yesu – Nataka nimjue Yesu zaidi.video.mp4 YouTube
Hits: 46