Ibada Lyrics ibada_lyrics Nitalitangaza Neno Lake Bwana

Nitalitangaza Neno Lake Bwana

Lyrics Of The Song Nitalitangaza Neno Lake Bwana

Song ID 3009

nitalitangaza neno lake Bwana katika lugha mbali mbali ee x2 wa kamba waimbe na kumsifu Bwana wa kikuyu waimbe na kumsifu Bwana wa luyha waimbe na kumsifu Bwana wa meru waimbe na kumsifu Bwana wa luo wa maasai wa taita wa swahili wa nandi wa kisii wa suba wa maragoli wa embu wa pokomo wa arabu wa kalenjin wa hindi wa somali wa morran wa sudanese wa zambia wa espanya wa burkina na wa congo

Nitalitangaza Neno Lake Bwana.mp3

Nitalitangaza Neno Lake Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post