Ibada Lyrics ibada_lyrics Shangilia – Moyo Wangu Sifu Bwana

Shangilia – Moyo Wangu Sifu Bwana

Lyrics Of The Song Shangilia – Moyo Wangu Sifu Bwana

Song ID 2847

moyo wangu sifu Bwana sifu Bwana siku zote halleluyah hallelujah imba imba anaweza anaweza tumshangilie kwa shangwe anaweza ndiye Bwana wa maBwana oooh moyo wangu moyo wangu sifu Bwana sifu Bwana siku zote halleluyah hallelujah imba imba anaweza anaweza tumshangilie kwa shangwe anaweza ndiye Bwana wa maBwana shangilia ametenda mema Yesu Bwana mfalme wa ajabu ameshinda kifo na mauti atawale milele amina aah

Shangilia – Moyo Wangu Sifu Bwana.mp3

Shangilia – Moyo Wangu Sifu Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post