Ibada Lyrics ibada_lyrics Ukiitwa na Bwana Yesu

Ukiitwa na Bwana Yesu

Lyrics Of The Song Ukiitwa na Bwana Yesu

Song ID 1312

ukiitwa na Bwana Yesu itika itika itika sema ndiyo itika itika kama sio mimi mwenyewe kama sio wewe kama sio sisi wakristu nani atangaze injili anakuita dada anakuita ndugu Mungu mwenye rehema anakuhitaji wewe uondoke uje ndugu ueneze injili usiogope ndugu usiogope dada anakuelimisha anakupa hekima

Ukiitwa na Bwana Yesu.mp3

Ukiitwa na Bwana Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 33

Leave a Reply

Related Post