Shukurani

Lyrics Of The Song Shukurani

Song ID 2136

ninakushukuru Mungu sababu ya bei hata uhai sikustahili ninakushukuru Mungu tena sababu ya dhiki ata nikisali unajua namaanisha siokama eti nilitenda wema kwa kujalisha matendo yako makuu mimi Mungu ningekulipa nini ulikonitoa nisinge moyo wangu matopeni topeni ukaniketisha na wakuu umenipaa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba hata shukurani zangu kwako nashukuru shukurani zangu kwako baba aibu umefuta fedheha umevuta umenipa amani iliyo ya kweli nakumbuka ndani yangu mimi ndo yule amabaye nilitoka na kwa dharau kwisha hai kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea ikiwa kwa siku za usoni wakasema tunazika kesho ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa huruma sitosahau wema wako wee shukurani zangu kwako nashukuru shukurani zangu kwako baba asante shukurani zangu kwako nashukuru shukurani zangu kwako baba kama ni kusoma tulisoma wengi umeruhusu niwe na kazi nzuri ajali tulipata wengi umeruhusu nibaki na uzima ndoa zimefungwa nyingi umeruhusu tubaki na amani furaha walikosa wengi umeruhusu tabasamu kwangu na shukurani yelele mama yelele mama yelelele yelele mama yelele mama yelelele yelele mama yelele mama yelelele yelele mama yelele mama yelelele

Shukurani.mp3

Shukurani.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post