Lyrics Of The Song Sifa na Utukufu
Song ID 2125
sifa sifa sifa na utukufu ni vyako sifa sifa sifa na utukufu ni vyako Bwana ni mwokozi wangu Bwana ni nuruu yangu Bwana jehova jile mimi ninakupenda mimi ninakumbuka upendo wako wa ajabu urimtowa mwana wako wapekee kuja kuniokowa sitachoka kukuimbia mpaka siku ya mwisho Yesu nikuone Mungu wa nazareth sifa sifa sifa sifa zako baba na utukufu ni vyako Yesu sifa sifa sifa sifa zako Yesu na utukufu ni vyako sifa sifa sifa uuu sifa zako Yesu na utukufu ni vyako oh sifa sifa sifa sifa zako Yesu na utukufu ni vyako tutaimba tutacheza tuki muona Yesu tukimuona alie tufia msalaba tutaimba tutacheza tukimuona Yesu mataifa nayo yatakusanyika tutimba wa china tutacheza australia tukimuona Yesu tanzania burundi na rwanda tutaimba tutakusanyika tutacheza tukiimba tukimuona Yesu ooh tutaimba tutaimba uuuu tutacheza tukimuona Yesu ooh tutaimba tutaimba tutacheza tutacheza hallelujah tukimuona Yesu oh tutaimba tutaimba imba imba imba tutacheza tutacheza tukimuona Yesu oh tutacheza tutaimba oh tutacheza tutacheza tukimuona Yesu
Sifa na Utukufu.video.mp4 YouTube
Hits: 14