Ibada Lyrics ibada_lyrics UMETUKUKA TWAKUHESHIMU

UMETUKUKA TWAKUHESHIMU

Lyrics Of The Song UMETUKUKA TWAKUHESHIMU

Song ID 304

umetukuka twakuheshimu hakuna mwingine kama wewe wewe Mungu baba yangu nakuinua nakuabudu wewe mwanzo tena mwisho sitwasikia yudah hutashindwa sauti yako twaielewa unaponena twasikia niseme nini nikuinue niseme nini nikuabudu wewe pekee wastahili wewe pekee uinuliwe

UMETUKUKA TWAKUHESHIMU.mp3

UMETUKUKA TWAKUHESHIMU.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Related Post