Ibada Lyrics ibada_lyrics Wewe ndiye Mungu hubadiliki – Nimeliguza

Wewe ndiye Mungu hubadiliki – Nimeliguza

Lyrics Of The Song Wewe ndiye Mungu hubadiliki – Nimeliguza

Song ID 656

nimeliguza vazi lako elohim nayo maisha yangu ukayabadilisha nimekujua hosonna tena kanipa uhai bila kulipa mie nitaubeba mzigo wako rabii kwa kuwa mzigo wako ni mwepesi sana nira yako ni laini eeh masiya natamani nifanane nawe siku zote wewe ndiye Mungu hubadiliki rohi baba yangu nakuabudu uaminifu wako hauna kipimo nayo matendo yako ninayajua asante kwa uaminifu wako nilikuwa mtoto sasa mi ni mzee sijaona siku moja umenitenga nisi wanilinda kama mboni lako hesabu za nywele yangu waielewa niyo maana ninaimba utukufu wako wa milele sasa ebenezar jibu langu pumzi uhai wangu tegemeo langu huna mwisho wala huna mwanzo yahweh natamani nifanane nawe siku zote swahili lyrics for touched lyrics

Wewe ndiye Mungu hubadiliki – Nimeliguza.mp3

Wewe ndiye Mungu hubadiliki – Nimeliguza.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post