Lyrics Of The Song BABA NINAKUPENDA
Song ID 3577
baba baba baba ninakupenda asante sana baba mwokozi wangu mimi hapa mimi sitaona haya kusema wewe wngu na mii wako katika maisha yangu baba nisaidie nisaidie baba ah katika kazi zangu nisaidie nisaidie baba ah katika mwenendo wangu baba nisaidie nisaidie baba ah
BABA NINAKUPENDA.video.mp4 YouTube
Hits: 10